Calender lyrics
by Koppa Gekon
(Intro)
Umesomwa kwa mabaya
Umetukanwa majina mabaya
Umeombewa mabaya
But Remember God will never...
Forsake youuuuuuuu.......,uuuu.,.
(Pre-hook X 2)
Calendar Ya Mungu sio kama ya mwanadamu
If it's today unaomoka Koppa Gekon,,
Nobody can stop the Reggae
(Hook X 2)
Walio ni dharau
Watanisalimia
Kwa heshima saluti Afande
(Verse)
Sikufi Moyo,ijapokuwa
Saa zingine ni ngumu
Sikati tamaaa...Badoo
Naweka Amani bado nitafika
(Pre-hook X 2 )
Calendar Ya Mungu sio kama ya mwanadamu,..
If it's today unaomoka Koppa Gekon,,
Nobody can stop the Reggae
(Hook X 2)
Walio ni dharau watanisalimia
Kwa heshima saluti Afande
(Verse)
Sikufi Moyo,ijapokuwa
Saa zingine n ngumu
Sikati tamaaa...Badoo
Naweka imani bado nitafika
Mtetezi wangu Yesu anaishii
Hio ata uniseme,mangapi,Bado nasongaaaa
Sisiki, kama...'mejiamini, sisikii
(Pre-hook X 2 )
Calendar Ya Mungu sio kama ya mwanadamu,..
If it's Today unaomoka Koppa Gekon,,
Nobody can stop the Reggae
(Hook X 2)
Walio ni dharau watanisalimia
Kwa,heshima saluti Afande
(Melody)
(pre-outro)
Mtetezi wangu Yesu anaishii
Hio ata uniseme,mangapi,Bado nasongaaaa
Sisiki, kama...'mejiamini, sikii
(Melody)
(outro)
Walio ni dharau watanisalimia
Kwa heshima saluti afande