NIAMBIE lyrics
 by Xenia Manasseh
		
		
[Verse 1] (Swahili)
Niamini
Ninataka 
Uwe wangu 
Milele
Kabla upate 
Nishakuwa 
Na mwingine
[Pre-Chorus]
Niambie, Niambie ni mimi
Niambie, Niambie ni mimi
Sitaki kujua mwingine, 
Sitaki kujua mwingine ewe
Sitaki kujua mwingine
Sitaki kujua mwingine ewe
[Chorus] 
Niambie eee
Niambie eeeee
Niambie eeee
Ni mimi, ni mimi
[Verse 2]
Contemplating
My decision
On a mission
For more
It’s such a challenge
Got tight rope balance
But it’s worth fighting for
[Pre-Chorus]
Niambie, Niambie ni mimi
Niambie, Niambie ni mimi
Sitaki kujua mwingine
Sitaki kujua mwingine ewe
Sitaki kujua mwingine
Sitaki kujua mwingine ewe
[Chorus] 
Niambie eee
Niambie eeeee
Niambie eeee
Ni mimi, ni mimi