Boondocks Gang

"Kidole"

[Intro: Exray]
Mmmh aaah
Utaniua aah

Magix Enga on the beat

[Chorus: Exray & Odi wa Murang'a]
Set design mokorino
Akiwa jaba (kidolee)
Kukumanga we ni
Kuku taga (kidolee)
Amber Lulu mimi
Napenda paka (kidolee)
Huku area lolo
Tutailamba (kidolee)

Nina ikus kama saba
Murang'a (kidolee)
Na tuvajo ka sita
Na manga (kidolee)
MaKardashian ka tisa
Wako jaba (kidolee)
Mokorino awe
Anauza kishada

Kidolee
Mokorino awe
Anauza kishada

[Verse 1: Exray]
Ka inawasha
Nachapa micharazo
Ka unadarwa uko
Nyuma anza mwanzo
Ka unaosha
Vyombo za mitambo
Juu ya kutu nateka
Mtoi wa kambo
A E I O U
Ye ni poko na
Amepiga nduru
Hapa kuna round
Moja amenikazia njugu
Hapa hakuna ju nina
Haga niikulie kinugu
Mapunyeto ni afadhali
Usijikune ndugu
Ka haiwezi pia unaweza
Najisi makuku
Kaka usishuku
Nanukia nduku
Duf duf unaeza
Zama ndani otero
Tuk tuk nakutemea
Jaba mapero
Shuk shuk hadi
Izo nyaru makero
Aaahhhhh
Utaniua

[Chorus: Exray & Odi wa Murang'a]
Set design mokorino
Akiwa jaba (kidolee)
Kukumanga we ni
Kuku taga (kidolee)
Amber Lulu mimi
Napenda paka (kidolee)
Huku area lolo
Tutailamba (kidolee)

Nina ikus kama saba
Murang'a (kidolee)
Na tuvajo ka sita
Na manga (kidolee)
MaKardashian ka tisa
Wako jaba (kidolee)
Mokorino awe
Anauza kishada

Kidolee
Mokorino awe
Anauza kishada

[Verse 2: Odi wa Murang'a]
Niko high na
Usizime hiyo ngwai
Hapa kwa ndae
Kunanuka njoti why
Ikus yake inaeza
Washa tire ngai
Na ni chafu ye ni mtaro
Yani dumping site
Naskia harufu
Harufu ya kishada
Sasa ni 4:20
Tukawashe shada
Kaka leta nare
Nilipue jaba
Na zikishika sana
Natema kawada
Gitinge giki
Gitinge titi keka
Gitinge titi ke
Gitinge giki
Gitinge titi keka
Gitinge titi ke

[Chorus: Exray & Odi wa Murang'a]
Set design mokorino
Akiwa jaba (kidolee)
Kukumanga we ni
Kuku taga (kidolee)
Amber Lulu mimi
Napenda paka (kidolee)
Huku area lolo
Tutailamba (kidolee)

Nina ikus kama saba
Murang'a (kidolee)
Na tuvajo ka sita
Na manga (kidolee)
MaKardashian ka tisa
Wako jaba (kidolee)
Mokorino awe
Anauza kishada

Kidolee
Mokorino awe
Anauza kishada

[Verse 3: Maddox]
Tamaa ya miti
Wamepigwa saba
Haga imepitwa
Na mkamba
Ata mimi kwanza
Sijaanza
Leta keg muratish
Nikuchimbe
Twende che na
Sembe na kichile
Pekejeng mathenge
Sindio zile
Ah piga kombi
Spaki na kichoki
Ka ni kuchimba
Hapa mi sitoki
Hadi salon
Nilimwaga njoti
Wacha valon
Mahaga uzisosi
Nina canon
Msupa uende hosi
Si za jamdown
Zimejaa kwa moti
Nione kando
Msupa una pongi
Hadi bake mi huwakulia
Kwa courti
Ka kimbuzi
Nimpandilie mashoti
Ka ki nyama
Kuja kuzisosi

[Chorus: Exray & Odi wa Murang'a]
Set design mokorino
Akiwa jaba (kidolee)
Kukumanga we ni
Kuku taga (kidolee)
Amber Lulu mimi
Napenda paka (kidolee)
Huku area lolo
Tutailamba (kidolee)

Nina ikus kama saba
Murang'a (kidolee)
Na tuvajo ka sita
Na manga (kidolee)
MaKardashian ka tisa
Wako jaba (kidolee)
Mokorino awe
Anauza kishada

Kidolee
Mokorino awe
Anauza kishada

A B C D E F G H I J K L M N O P Q R S T U V W X Y Z #
Copyright © 2018 Bee Lyrics.Net