Siku Moja lyrics

by

Gramps Morgan


[Intro]
Siku moja unajua
Kila mtu anataka kukaa fresh nini!
Watu wamechoka na hii form bana!
Kila mtu anagonja ati hiyo siku moja tu!

[Verse 1]
Dini ikakuja, ikatugawanisha
Sasa amani hakuna
Na kila pande vita
Kumebadilika, na shindwa form ni gani
Hata kipande sina, na uliza home ni gani
Nataka zipande kichwa, pitisha ndom ni-sani
Ndio brother nipate picha, nilazwe hospitali
Na mimi nipate picha ndio ni-hot ni kali
Inatatanisha na mi sisoti ndani
Bado tunaishi enzi za utumwa
Niki-medidate mambo ya ki-shenzi, ya kikuma
Venye hiyo form haiendi freshi yaniuma
Nasi-ati mwanajeshi nitajituma
One day, vako fulani, na go-stani
Serekali imeleta msako mtaani ah!
Usiji-pate hapo ndani
Eti unaambia afande hapo mwani

[Chorus] X2
Siku moja, masela tutaishi freshi
Si kugonja, kwenda jela ama kudeadi
Siku moja, kwenda peras umeji-seti
Siku mo… siku mo… siku mo… siku mo… siku moja!

[Verse 2]
Mi nataka zangu, mi sitaki zao
Kifo-tu pekee ndio inaweza kuni-stop me now
Originate, story za ku-copy hao
Nashindwa flow gani italeta more money
Mambo igongane niweze kuwa na best of home yaani Ah!
Hakuna kulala, watu tafutana mishahara
Hakuna inshallah ya kutafuna ni msala Ah!
Ukizubaa weh watakuta ni fala ah!
Either uwe ama huna inshallah ah!
Ku-mama-ke, ukipenda ku-baba-ke!
Imefika mida masela tuka sake
Ama iwe shida kwa jela ndio ka make
Kama umeshiba si better tutaanza aje?
(Wewe niambie man man tutaanza aje ah)
Tunaye fanya kila siku bila kitu huniambii kitu
Basi chizi take a chill tu

[Chorus] X2
Siku moja, masela tutaishi freshi
Si kugonja, kwenda jela ama kudeadi
Siku moja, kwenda peras umeji-seti
Siku mo… siku mo… siku mo… siku mo… siku moja!
[Verse 3]
Yeh!
Majina rekebisha, hatutagonga msoto
Keeping pande ya mitaa, niko na bonge mtoto
Na yeye halali njaa, watu wagongwe ngoto
Ku-treatiwa ka mtumwa huwa hatutakangangi
Man! Mimi nimekunja sura nimevuta bangi
Nikiji-cheki kwa kio, naji-chukia sana
Eti Johnny ndio huyo, mi nabugia prama
Walimwengu sio, eti dunia bana!
Wanaume ndio, eti kuumia ama
Kwa sasa tu tuzi-roll, tushaumia sana
Ama muulize Muliro, tumetulia jamaa
Sema kweli man tumetulia jamaa
Hakuna kitu mi na weza fanya
In the process-tu lakini natengeza mwanya (eh!)
International si tuna hustle nao
Ni mikasi kwao, ikibidi ni risasi blao!

[Chorus] X2

Siku moja, masela tutaishi freshi
Si kugonja, kwenda jela ama kudeadi
Siku moja, kwenda peras ume ji-seti
Siku mo… siku mo… siku mo… siku mo… siku moja!
[Outro]
Eh man!
Unajua yaani ile, yaani ile siku moja mtu ume-chill
Yaani, umeskia uko sawa, umepata ile? hakuna eti stress nini
Kila kitu iko sawa yaani
Yaani unaona mambo ina songa
Unapata hiyo form?
Kwa sababu hii ingine some time inakuwanga ni issue
Hehehe!
Yaani man mi naskia poa yaani
Hiyo one day najua ndiyo hiyo
Si-una ona?
Maana, jua, ikitua
Kesho yake asubuhi bado itatokea
Yaani, form bado itakuwa
Sijui kama unanipata?
Hiyo siku moja ina-come man!
We keep yah head-up yaani
Si-unajua man? Eh?

One day…(as it fades)
A B C D E F G H I J K L M N O P Q R S T U V W X Y Z #
Copyright © 2012 - 2021 BeeLyrics.Net